Hodi humu ndani

Plastic

JF-Expert Member
Jun 2, 2019
220
332
Nimekua nikisoma threads mbalimbali humu jamvini kwa muda mrefu sasa. Nafikiri niwakati wakushiriki kikamilifu.

Naomba ushirikiano wenu wakuu.
 
Mbona kama ulikuwepo tangu june mwaka jana?

semper fidelis
Kwa kua nilikua sijihusishi katika kuchangia threads mbalimbali, najiona kama mgeni kwa wanajamvi walio wengi.

Ushirikiano wenu ni muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom