HODI humu kwa masine

HODI humu kwa masine

ABEDNEGO

Senior Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
109
Reaction score
30
Jameni hodi mie nimekuja kutoka kijijini,Nikasoma huyu kazeti wenu nikafurahi,Sasa nikamuuliza huyu dada kasema nijirejisite ili nipewe ukaribiso,Nimefurahi kweli kweli kama mtanikaribisha.Niko na pahala ya kula na kulala.Lakini kusoma na kuandika kwa mashine ni hapa ndani.Asanteni
 
Duuuh kazi kweli kweli haya ndo mambo ya fibre optic cables au utandawazi?
 
Jameni hodi mie nimekuja kutoka kijijini,Nikasoma huyu kazeti wenu nikafurahi,Sasa nikamuuliza huyu dada kasema nijirejisite ili nipewe ukaribiso,Nimefurahi kweli kweli kama mtanikaribisha.Niko na pahala ya kula na kulala.Lakini kusoma na kuandika kwa mashine ni hapa ndani.Asanteni

Habari za Msambweni mkulu wangu!
Karibu sana hatimaye!
Umeingia lini town, tutaftane basi!
Jiskie nyumbani!
 
Back
Top Bottom