Action and Reaction JF-Expert Member Oct 16, 2021 1,355 1,411 Oct 18, 2021 #1 Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
H HOPEfull JF-Expert Member Apr 8, 2021 1,730 2,082 Oct 18, 2021 #4 Huku ukigonga hodi mara 2 tatu we ingia tu watu wako bize sana
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,054 10,700 Oct 19, 2021 #5 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Action and Reaction JF-Expert Member Oct 16, 2021 1,355 1,411 Oct 22, 2021 Thread starter #9 Ahsanteni ndgu zangu kwa ukarim wenu kwa kunikaribisha ili tuzidi kulijenga taifa la JF ... πππ
Ahsanteni ndgu zangu kwa ukarim wenu kwa kunikaribisha ili tuzidi kulijenga taifa la JF ... πππ
Action and Reaction JF-Expert Member Oct 16, 2021 1,355 1,411 Oct 22, 2021 Thread starter #10 great joel said: Huku ukigonga hodi mara 2 tatu we ingia tu watu wako bize sana Click to expand... Aisee naogopa kula za uso coz kila mji una wazee wake!
great joel said: Huku ukigonga hodi mara 2 tatu we ingia tu watu wako bize sana Click to expand... Aisee naogopa kula za uso coz kila mji una wazee wake!