karib sana. huyo aliokukaribisha hapo juu anaitwa sweetlady na kikawaida anakuwa haonekani sana lakini leo ameshindwa kujizuia kwa huu ujio wako. karib tena. tumsubirie na katavi waziri wa jukwaa hili na waziri kivuli wiselady na sharobaro ze finest wakukaribishe