Hodi hodi waungwana,,,

Chidylee1

Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
7
Points
0

Chidylee1

Member
Joined Nov 25, 2013
7 0
Mie ni NDUGU yenu, Kwa UCKU na MCHANA.

Tena ni SWAHIBA wenu,
Kwa MAREFU na MAPANA.

Natambua UTU wenu,
Pamoja na UUNGWANA.

Wema ni Tabia zenu,
Aliyowapa SUBHANA.

UKARIMU na ROHO zenu, na HAIBA ZAFANANA.

HESHIMA na UPOLE wenu,
Hamkuanza leo wala JANA.

Hiyo desturi YENU,
aliyowajaalia RABBANA.

MUNA vingi VITUKO,
ndomana NAWAPENDA SANA.

Uwe Mwema mwisho WENU, Namuomba MAULANA.

"AAMIIN"
*Amani ya mungu iwe
juu yenu*.
 

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Messages
8,150
Points
1,500

Globu

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2011
8,150 1,500
Mie ni NDUGU yenu, Kwa UCKU na MCHANA.

Tena ni SWAHIBA wenu,
Kwa MAREFU na MAPANA.

Natambua UTU wenu,
Pamoja na UUNGWANA.

Wema ni Tabia zenu,
Aliyowapa SUBHANA.

UKARIMU na ROHO zenu, na HAIBA ZAFANANA.

HESHIMA na UPOLE wenu,
Hamkuanza leo wala JANA.

Hiyo desturi YENU,
aliyowajaalia RABBANA.

MUNA vingi VITUKO,
ndomana NAWAPENDA SANA.

Uwe Mwema mwisho WENU, Namuomba MAULANA.

"AAMIIN"
*Amani ya mungu iwe
juu yenu*.
Karibu JF swahiba.
 

Forum statistics

Threads 1,390,417
Members 528,173
Posts 34,050,702
Top