First of all I salute all of U in the name of jah.....de king of da kings Aluta Continua!, kwa kura yangu kuchachuliwa bado nina uchungu, uchungu huu hautaisha adi kieleweke wanaa JF karibu sanaaa huku huku choma cha nkola!
Karibu sana jiskie uko chadema, asante kwa kutukaribisha huko choma cha nkola tuandalie mafuta ya pamba tukitoka nkiniziwa tupakupitia nadhani mmt bus svc inafika kwenu.