Hodi hodi humu.....

wewe wewe.....
naomba Teja asisome hapa..... nitakuwa matatani mwenzio
Hawezi kusoma bana...!
We siunajua ninavyokupenda FP ?
Mbona unataka niuanze mwaka vibaya?
Come to my world love!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ananigwaya akiniona tu anasepa nimemfirisi nimemwambia mkono mtupu haulambwi yupo mgodini anahaha kusaka mahela
Hahahaaa mwambie aombe msaada kwa Nyani Ngabu kama hali ni mbaya sana ingawa na haka Kanyani kanakutaka sana lol uko tayari kupendwa na Nyani?
 
Last edited by a moderator:
rafiki kumbe unalijua hili, asante sana kwa kunisaaidia........
anaweza akashangaa nikamgharamia kila kitu na hako kamgodi kake...... chezeya sisi yeye?
Anakuja kichwa kichwa na sifa ndogondogo eeeh?
Au hajui hata Fast Jet ni yako?
Huna njaa mama Ila nakufa kwa ajili yako...kubali basi FP wangu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mwambie aombe msaada kwa Nyani Ngabu kama hali ni mbaya sana ingawa na haka Kanyani kanakutaka sana lol uko tayari kupendwa na Nyani?

sitaki mtu awe na mme mwenza ila kama atahakikisha safari za uswisi kila week basi atume barua ya maombi
 
Last edited by a moderator:
sitaki mtu awe na mme mwenza ila kama atahakikisha safari za uswisi kila week basi atume barua ya maombi
Hahahaaaa ngoja kwanza aongeze juhudi ya kubeba maboksi maana Hizo safari sio mchezo lol
Nasikia Bishanga anataka kuanzisha shamba la mihogo kule Ikwiriri ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa ngoja kwanza aongeze juhudi ya kubeba maboksi maana Hizo safari sio mchezo lol
Nasikia Bishanga anataka kuanzisha shamba la mihogo kule Ikwiriri ni kweli?

labda aanzishe kilimo cha majungu hana mtaji
 
Last edited by a moderator:

Arifu mbona unatongoza huku unajihami?
Anyway, Kila la Heri kwenye Mtongozo wako. Na heri ya Mwaka Mpya...
Msalimie FP
 
Hawezi kusoma bana...!
We siunajua ninavyokupenda FP ?
Mbona unataka niuanze mwaka vibaya?
Come to my world love!
wewe bwana najua teja anapita sana hapa na ameshakukariri, usitake mwenzio niuanze mwaka vibaya.....
ila najua atajua unatania tu haupo serious......
 
Anakuja kichwa kichwa na sifa ndogondogo eeeh?
Au hajui hata Fast Jet ni yako?
Huna njaa mama Ila nakufa kwa ajili yako...kubali basi FP wangu
umeona eeh!
tatizo kule kwenye jukwaa la stress wanapeana stress tu ndo maana wakimiliki vitu vidogodogo kama mgodi wanaona wamewin sana.....mambo iko huku bwana.......
 
Arifu mbona unatongoza huku unajihami?
Anyway, Kila la Heri kwenye Mtongozo wako. Na heri ya Mwaka Mpya...
Msalimie FP
salamu zimefika mchumba wa zamani, lol!
hope upo poa na unasubiria mwaka kwa hamu.
Heri ya mwaka mpya wewe pia
 
Heheheheeeee sasa measkron niko natafakari huyu tumpe mjukuu gani nimeshindwa....hivi unadhani FP atamfaa zumbemkuu ?

Yaani Erickb52 huyu babu zumbemkuu na babu Asprin lao moja, nimeshtukia baada ya zumbemkuu kuja na kuanza kuomba apewe wajukuu awalee, mara akasema baba Asprin amechoka sasa na leo nakutana na thread ya babu Asprin akisema ati anatafuta mtu wa kumkabidhi wajukuu wa kulea.... hebu ngoja nimuulize FP kama yupo tayari kulelewa na kibabi zumbemkuu
 
Last edited by a moderator:
Asprin aliweka poni kale kalaputop ili apate nauli ya kwenda na kurudi kwao huko rombo,
sasa anahaha kusaka hela kwa njia yoyote iwe halali au haramu ili aweze kuwa hewani tena.

Ngoja aje mwenyewe manake na mie nilimkopa pale Himo tumerudi mjini ananikwepa kumbe aliweka rehani laputop yake, mweee! Asprin hebu kamu zisi weyi babu useme
 
Last edited by a moderator:
akuuuuu, nilishajikatalia mapemaaaaaaaa, cha kwenda segerea kwa mada kesi nini?
 
akuuuuu, nilishajikatalia mapemaaaaaaaa, cha kwenda segerea kwa mada kesi nini?

Ha ha haaaaa! Afadhali umesema mwenyewe niliogopa kuusemea moyo..... mara babu anapata heart attack.... mweee! ungeeleza aisee
 
Ha ha haaaaa! Afadhali umesema mwenyewe niliogopa kuusemea moyo..... mara babu anapata heart attack.... mweee! ungeeleza aisee
umeona eeehh! eti mwenyewe anajitutumua kwa kusema kuwa ng'ombe hazeeki maini, lol!
 
measkron usidharau uchakavu wa mahakama, teh teh teh! embu nisaidie kunipigia chapuo kwa huyo binti FP aisee.., ntakutafutia zawadi...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…