Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!
Ukiingia humu kwa kuogopa kutongozwa unanipa wasiwasi sana halafu umejuaje wakati haujatongozwa kazi kweli kweli
Karibu ziko nyingi ati.... wataka ipi weye:suspicious: basi karibu jamvini twala sie :A S-fire1:Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!
Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!