Hodi hodi humu...wakaka msinitongoze.....mahalatito ....msinisute.

Hodi hodi humu...wakaka msinitongoze.....mahalatito ....msinisute.

duh umejuaje humu wakaka wanatongoza?hiyo ndo adabu uliyokuja nayo toka kwenu?mnafubnzwa kweli maadili kwenu ww?:frusty:

unajua kuna watu huwa wanaongea kinyume,utajuaje sasa.
 
Oooooh nimemissplace simu yangu.....................nibip basi jamani
 
karibu sana cwty memo,ni mara y ngapi unabadli majina tofauti na kujirejista upya na kwa sababu gani? tel us mtoto mzuri
 
karibu sana cwty memo,ni mara y ngapi unabadli majina tofauti na kujirejista upya na kwa sababu gani? tel us mtoto mzuri
kwa nn unataka kujua sababu?
 
Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!

Mh p'se hiyo heading yako.....
inamaana kina 1st lady, Tatiana, Pearl, Nyamayao, mamushka, shost
Afrodez na wengineo...wote wameshatongozwa humu jamvini
Waombe radhi maana kuna vikongwe humu hawatongozeki
 
Tempted to touch, tempted to touch ............................!!!!
 
Mh p'se hiyo heading yako.....
inamaana kina 1st lady, Tatiana, Pearl, Nyamayao, mamushka, shost
Afrodez na wengineo...wote wameshatongozwa humu jamvini
Waombe radhi maana kuna vikongwe humu hawatongozeki
Nimeona mtu analalamika mnamtongoza sana jamani ndo nikaweka warning tu kwa yeyote anayetaka kufanya hivyo afanye akielewa sitongozeki kimtandao.

Najiunga na hao wasiotongozeka.
 
hahahaha!
memo naona unagombewa kama mpira wa adhabu....!
 
Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!
Unajuwa kila nikijiuliza nakosa jibu, hivi unaogopa kutongozwa kwa kuwa uwezi kukataa au...!?
 
Nimeona mtu analalamika mnamtongoza sana jamani ndo nikaweka warning tu kwa yeyote anayetaka kufanya hivyo afanye akielewa sitongozeki kimtandao.

Najiunga na hao wasiotongozeka.
Karibu sana . ila hiyo red hapo inabaki mikononi mwako ku-iprove, kabla wenzako hawaja ku prove wrong.
 
hahahaha!
memo naona unagombewa kama mpira wa adhabu....!
Pamoja nakutoa tahadhari lakini wapi. kuna mtu nimempa sharti la kubadili avatar akibadili nitamfikiria!
 
kama unataka prove anza vesi basi dia!
Dah! Sasa hapa mtihani, maana sikumbuki mara ya mwisho kutongoza ilikuwa mwaka gani...! Aaah... Mmmmh... sasa huu mtihani umenishinda... Bora umfikirie huo huo uliyemuomba abadili avatar yake...!

Na wewe nawe toka lini watu wazima wakatongozana bana...!
 
The Following User Says Thank You to X-PASTER For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
Unataka number ya cm? badili avatar kwanza! unanitisha

Mmmmmmmmh!!!!! achana na huyo, hata akibadili avatar utakuwa baso unamkumbuka utaendelea kuogopa tu, ingia private and take the message. See U then.
 
kama unataka prove anza vesi basi dia!
1%5Csad-cat-17126.gif
Pleeeeease!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom