klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
dah hii rekodi nyengine kwenye JF guiness rekod, jamaa ana post 6 tu kala ban. uliomba ukaribishwe lakini acha tukuage . kwaheri mkuu.
Da!! Masikini wee, pole. Tumempokea mgeni wetu mzuri. Embu tupewe taharifa, amehukumia siku ngapi. Maana mimi kama yeye, kule kwenye kupandikizwa chuki ya ukumbozi, sipo. Risasi zitulenge sisi tu, kombati za chama azipigwi risasi. Ila nitakuwa mwanaharakati baada ya ukombozi kukamilika.

Kwamtoro, sincerely mimi avatar inaniogopesha kweli! Siwezi kuangalia mara ambili. yaani hata nashindwa kusoma comments zako, inabidi tu nipite mbio...!!!!
Keren, Keren! Ahhaaa Eeee, Unaipenda iliyokuwa ya Mr wa mapenzi. Pole weyeee