Mr wa Mapenzi
Member
- Jan 25, 2011
- 6
- 0
Mtakuwa nami kocha mchezaji. Siasa na mambo mengine, sipo kabisa
Hiyo avatar yako...hapana kwa kweli! Kavae nguo kwanza ndo urudi tutakukaribisha!
Mbona nipo vizuri tu, macho yako tu. Kwani kuna kitu hapo kinaonekana
Keren mbona umemshikia bango sana..... zamani zile kwetu watoto kukaa uchi halikuwa tatizo sana...... By the way karibu kijana ila kuna wazee humu :kev: !!!!Wewe unaona umevaa nguo hapo??!!!!
Keren mbona umemshikia bango sana..... zamani zile kwetu watoto kukaa uchi halikuwa tatizo sana...... By the way karibu kijana ila kuna wazee humu :kev: !!!!

we mwanamke au male? kama male badilisha avator yakeo sababu watu watakuomba namaba bure tu hapa
Asanteni sana kwa moyo wenu mkunjufu, najisikia nipo nyumbani. Kuhusu Avarta, kwa utamaduni wetu aina tatizo.