Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,858
- 7,074
Karibu sana mwenyeji mgeni
Hapa jf unatakiwa kupost picha yako maana wewe ni mgeni ili ukaribishwe kwa heshma zote bila hivyo ukaribisho sahauHi guys !
Wish mko fine ,mi mzima wa afya
Niko hapa I need yr support hapa jf Mimi ni mgeni naombeni mnifahamishe nifanye mambo gani hapa jf na yepi nisifanye
Uraia wangu Mimi ni mtanzania naishi dar
Asanteni bye [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mh! Japo cjakupata vzr
Bado unaendelea "npo" ndio niniNow npo jf not fb