Hodi hodi hodi!

Hodi hodi hodi!

aganza

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
1,450
Reaction score
3,153
Hi guys !
Wish mko fine ,mi mzima wa afya
Niko hapa I need yr support hapa jf Mimi ni mgeni naombeni mnifahamishe nifanye mambo gani hapa jf na yepi nisifanye
Uraia wangu Mimi ni mtanzania naishi dar
Asanteni bye [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Wew na huyo uliemueka kwenye avatar yako tabia zenu zinafanana??
 
Hahahahahahahaaa inafurahisha zaidi pale unapokuwa umefungua ID mpya halafu una sign in kwa kutumia kifaa kimoja. Usipokuwa smart enough unakamatika kirahisi tuu heheheheh.

Asilimia 99 umepewa kibali cha kuposti leo kwa ID mpya halafu ukajisahau ukafikiri ume sign out kumbe bado in ya zamani na ndo usharusha uzi aahahahahahahhahahahaaaa.

Multi ID hazijawahi kumuacha mtu salama.
 
Kasie
Akili yako imetulia sana
I adore that...
 
Kwa uandishi huu huyu sio Mgeni wa JF. Ni senior expert member kwa Id nyingine. Halafu kwa nn wanapenda kuja km wadada?
 
Jukwaa la ukaribisho haulijui shooo?
 
Hahahahahahahaaa inafurahisha zaidi pale unapokuwa umefungua ID mpya halafu una sign in kwa kutumia kifaa kimoja. Usipokuwa smart enough unakamatika kirahisi tuu heheheheh.

Asilimia 99 umepewa kibali cha kuposti leo kwa ID mpya halafu ukajisahau ukafikiri ume sign out kumbe bado in ya zamani na ndo usharusha uzi aahahahahahahhahahahaaaa.

Multi ID hazijawahi kumuacha mtu salama.

hahahaha.
naunga mkono hoja yako.
kweli mtupu.
jamaaa kashalikoroga
 
Tuletee kwanza residence permit, unaweza kuwa umetumwa wewe
 
Back
Top Bottom