hodi hodi hodi wana CHIT-CHAT

Karibu sana Chit chat...

ahsante mkuu mtu8, eer, ni furaha yangu kubwa sana kuingia cc! naomba nikumbane na watu wazito wazito wenye challenges.. ofcz nimefurahi!

mwenye shida yoyote ile aniconsult muda wowote!
Excel, bepari!
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuwa na id mpya haimaanishi ni ugeni kwa sababu wengi ni wasomaji sana wa jf ingawaje si members tunaingia kama guests baadae tunavutiwa na kujiunga kama members btw asante kwa ukaribisho

mmh id mpya!?
 
Back
Top Bottom