Hodi hodi Darisalama

Hodi hodi Darisalama

Mwanyasi safari ilikuwa ya ghafla. Tunauguliwa na mdogo wake mama, sasa walipoona hali si nzuri ndo mama akaitwa. Nimekuja naye. Naomba salamu zangu uzifikishe kwa mwenyekigoda na wanajamii huko. Naomba unifutie kesi bureeee

Looo....! Pole sana mkuu
uguza pole, apone mapema!
Mwenyekiti Dark City amezipata mkuu, YNNAH, CHUAKACHARA, amu, Arabela wanahusika sana pia kupata taarifa hii
 
Last edited by a moderator:
Una nini wewe mpaka usiwezwe?

Dar sio kanyigo aisee! Hapa hatulimi migomba wala kahawa!

Sasa ole wako utimkie posta leo kwenda kupanda migomba!

Leo lazima......!


....... Ukaribishwe kiundani na Asprin!

Nadhani KOKUTONA ni mwepesi wa kuelewa. Naamini atakuwa kakusikia na kukuelewa.
 
Last edited by a moderator:
kwani huyu mtu mfupi Eli79 anajua hata application ya katerero?

hahahaaa!! babu ntakupa ujanja wa kum-make KOKUTONA in a katerero way! lazima aijue kariakoo kwa vitendo.. teh!

Na urefu huu waniita mfupi miye!!!!
hata hivyo #my-kokutona loves me, bila kuangalia kimo changu.
 
Last edited by a moderator:
Sangazi DEMBA si umeona mambo hayo?
Ni lazima nitie timu Daslama , nshapata wa kunishika mkono! Mshahara wa mwezi huu naanza prep ya kun'nua begi na ma'taff buti ya kujia huko! Wadau wameniambia eti Yeboyebo huko mwisho Kibamba .
tena una bahati mwanangu ujue Heaven on Earth ni bonge la supastaa mjini hapa hashindwi kukukutanisha na kina daidomo, wema sijui pensel hadi kina heven on dezet (si unajua huyu bwana alivyomaarufu hapa mjengoni), so we zichange tu....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom