Hodi hodi Darisalama

Hodi hodi Darisalama

True that... Excel, naona ujuo wa my sweet love wangu jijini unakuzingua... Ulidhani atakuja kwako, lol.
bebs, we endelea kumrusha roho jamaa yangu, naona mwanya Wako unamtia hamasa.
luv u babes!!!

Love u too honey. Mwache atange tangeee. Imekula kwake.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa!!! aisee unaongea kama mwimba kwaya vile!

sasa ntengeneze mistari.. halafu nisimpate! hivi nikikinukisha kweli utasimama hapa?

Nitakupa BAN....nini kumpa hekaheka mume wangu?
 
My KOKUTONA, love you sweetheart...
hao kina Nicas Mtei (mabazazi), babu Asprin, Excel, na wengine wanataka uwaone ili uchezee sharubu zao hao...pls, fanya fasta urudi home..

Honey usihofu kabisaaaa. No one like youu sweet heart. Hakuna bazazi yoyooote ataeniweza.
 
Last edited by a moderator:
Una nini wewe mpaka usiwezwe?

Dar sio kanyigo aisee! Hapa hatulimi migomba wala kahawa!

Sasa ole wako utimkie posta leo kwenda kupanda migomba!

Leo lazima......!


....... Ukaribishwe kiundani na Asprin!

Honey usihofu kabisaaaa. No one like youu sweet heart. Hakuna bazazi yoyooote ataeniweza.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread sijaielewa,
umeshafika dada? halafu una kesi ya kuondoka bila kuniaga.
Ningekuagiza machungwa na nazi umpelekee dada yangu King'asti

Mwanyasi safari ilikuwa ya ghafla. Tunauguliwa na mdogo wake mama, sasa walipoona hali si nzuri ndo mama akaitwa. Nimekuja naye. Naomba salamu zangu uzifikishe kwa mwenyekigoda na wanajamii huko. Naomba unifutie kesi bureeee
 
Last edited by a moderator:
Una nini wewe mpaka usiwezwe?

Dar sio kanyigo aisee! Hapa hatulimi migomba wala kahawa!

Sasa ole wako utimkie posta leo kwenda kupanda migomba!

Leo lazima......!


....... Ukaribishwe kiundani na Asprin!

Ushindwe na ulegeee kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Sangazi DEMBA si umeona mambo hayo?
Ni lazima nitie timu Daslama , nshapata wa kunishika mkono! Mshahara wa mwezi huu naanza prep ya kun'nua begi na ma'taff buti ya kujia huko! Wadau wameniambia eti Yeboyebo huko mwisho Kibamba .

Nakungojea kwa hamu zote J..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom