Hodi hodi Darisalama

Hodi hodi Darisalama

Ewaa hebu ni inbox namba yako kwa PM kwa lojistiks. Nataka ukirudi KUNANI PALE uwe na mimba changa.

Tayari babu, ni flash fastaa tujue tunafanyaje kabla jua halijachwa
 
we ile wapande basi nishtue tu mie utanikuta Terminal nakusubiria..........

Shangazi yako DEMBA zamani si alikuwa anakaa Vingunguti Kwa Simba karibu na ile barabara
ya kuelekea Tegeta Kibaoni ina maana alishahama

hahahahahahahaha hii mitaaa mipya eeeh
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nikija Dar utanidhungusha? Manaake mi sijawahi fikaga huko .
Nadunduliza nauli nije nimtembelee Shangazi yangu DEMBA , aliniambia anaishi Mwenge mtaa wa Temeke , karibu na Buguruni opposite na Mbezi beach .

Hahahaaaaaaaa!!!!!!! Criss cross za mtaa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa. I belong to @ Eli79 only

True that... Excel, naona ujuo wa my sweet love wangu jijini unakuzingua... Ulidhani atakuja kwako, lol.
bebs, we endelea kumrusha roho jamaa yangu, naona mwanya Wako unamtia hamasa.
luv u babes!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom