Hodi hodi Darisalama

Hodi hodi Darisalama

True that... Excel, naona ujuo wa my sweet love wangu jijini unakuzingua... Ulidhani atakuja kwako, lol.
bebs, we endelea kumrusha roho jamaa yangu, naona mwanya Wako unamtia hamasa.
luv u babes!!!

wewe ndio eli eenh! mbona mfupi namna hii aise? hahahahaaaa1!!!
KOKUTONA anakufikia wapi mdau? actually..........! ntaku:cell:muda umeenda bana!
 
Last edited by a moderator:
mbona unajistukia wewe?

hahahaa!! Eli79 mwenyewe kachooooka! si mseme niwape msaada?

ha ha ha... Mkuu umepitia chakani, yaani saivi unakujabna swagga za '95? Ati "huyo Eli79 mwenyewe kachooka" man up bana, kama unamsaundisha tengeneza mistari upya, afu hupati kitu hapa....
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha... Mkuu umepitia chakani, yaani saivi unakujabna swagga za '95? Ati "huyo Eli79 mwenyewe kachooka" man up bana, kama unamsaundisha tengeneza mistari upya, afu hupati kitu hapa....

hahahahaaa!!! aisee unaongea kama mwimba kwaya vile!

sasa ntengeneze mistari.. halafu nisimpate! hivi nikikinukisha kweli utasimama hapa?
 
wewe ndio eli eenh! mbona mfupi namna hii aise? hahahahaaaa1!!!
KOKUTONA anakufikia wapi mdau? actually..........! ntaku:cell:muda umeenda bana!

lol, Excel, mbona hivi lakini!!!! Terrible aisee, tuko 21 century bana....bado unasaundisha kizamani hivyo, afu nashindwa kukuelewa, I thought miss neddy was the one, kakupiga chino ndo maana unahaha mtaani kusaka vya wenzako?
 
Last edited by a moderator:
My KOKUTONA, love you sweetheart...
hao kina Nicas Mtei (mabazazi), babu Asprin, Excel, na wengine wanataka uwaone ili uchezee sharubu zao hao...pls, fanya fasta urudi home..
 
Last edited by a moderator:
miss neddy, pls njoo unambie uhusiano Wako na Excel unaendeleaje, naona kama kachanganyikiwa vile.

aisee mamii kalala bana! mwache atumie initial honeymoon kabla ya ile ya pili ya ndoa!

mambo ni mpi! mpi! mpi! kabla sijaoa qudadeki!

mamii chukua hii kitu...!

Small_Red_Rose.JPG
 
lol, Excel, mbona hivi lakini!!!! Terrible aisee, tuko 21 century bana....bado unasaundisha kizamani hivyo, afu nashindwa kukuelewa, I thought miss neddy was the one, kakupiga chino ndo maana unahaha mtaani kusaka vya wenzako?

hahahaaa!!! haya bana...
 
hahahaaaa kumbeeeeeee ndio hukoo hayo maeneo nayafaham vizuru sana

nitakuja na Judgment

Sangazi DEMBA si umeona mambo hayo?
Ni lazima nitie timu Daslama , nshapata wa kunishika mkono! Mshahara wa mwezi huu naanza prep ya kun'nua begi na ma'taff buti ya kujia huko! Wadau wameniambia eti Yeboyebo huko mwisho Kibamba .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom