Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,532
- 42,697
- Thread starter
- #41
Last edited by a moderator:
Asante bantu lady nasikitika Lady doctor hajanikaribisha sijui hanipendiiii???
Asante bantu lady nasikitika Lady doctor hajanikaribisha sijui hanipendiiii???
lusungo karibu sana mpenwdwa... Nakupenda ila majukumu ya kujenga nchi yamenitight mwenzio. Halafu umeshapewa information kuhusu wakaguzi humu ndani? Maana kila atiae maguu humu lazima afanyie checkup yamwili na roho
asante mkuu,ngoja nichangamikie fursaa ! my Evelyn Salt jiandae kuwa firstlady.
Nimependa na nimevutiwa na jukwaa hili....
naomba mnikaribishe kama mwanajumuiya mwenzenu...
Mi ni mwanasiasa but inahitaji muda wa kutuliza akili pia....
Nawapenda wote naomba mnikubali niwe mmoja wa wanafamilia wenu....
Thanks in advance! !!
mwenzio nilikuwa nilikuwa mfungwa huru,hii ni baada ya kukamatwa na serengeti girl mwenyeji wa kule yalipo anzia mapenzi, ila nashukuru kwa sasa nipo nje ya kifungo.Hivi ulikuwa umeenda wapi eti mbona sikuoni nyumbani, sikuoni bar wala jukwaani?
umemjuaje ....? (wivu kazini)Acha kujisingizia, sema we ni mshirika wa majukwaa yote
hahaha elimu dunia unaijua kaka ? usije jikuta upo gamboshi.Karibu ila acha mazoea na wake za watu humu. Ukijidai mbishi ntakubandika vikojoleo vya kike mwili mzima
ha ha ha
hapana mkuu
nini mkuu....?Jamaniiiiii
kweli hazeeki maini mkuu....ubazazi niliacha siku nyingi mkuu. hata hivyo ng'ombe hazeeki.....?
hujaacha tu hiyo kazi ya ukaguzi ..?lusungo karibu sana mpenwdwa... Nakupenda ila majukumu ya kujenga nchi yamenitight mwenzio. Halafu umeshapewa information kuhusu wakaguzi humu ndani? Maana kila atiae maguu humu lazima afanyie checkup yamwili na roho
umemjuaje ....? (wivu kazini)