HODI chit chat

HODI chit chat

duh... kumbe ma mkwe!? aisee pole sana kwa ulinzi shirikishi! sasa nikutafutie mlinzi wa kusimama getini?

nichongee hata sanamu ulisimamishe pale mlangoni kwa room yangu roho yangu itaridhika mkwe
 
nichongee hata sanamu ulisimamishe pale mlangoni kwa room yangu roho yangu itaridhika mkwe

usijali, unajua ulinzi wa manual ni mbaya! siupendi actually!

nna mpango wa kukuzungushia CCTV cameras nyumba nzima!

yani wewe ukiwa room tu ndani ya blanketi, unaangalia kila kitu ndani! usijali ma mkwe!
 
Nimependa na nimevutiwa na jukwaa hili....

naomba mnikaribishe kama mwanajumuiya mwenzenu...

Mi ni mwanasiasa but inahitaji muda wa kutuliza akili pia....

Nawapenda wote naomba mnikubali niwe mmoja wa wanafamilia wenu....

Thanks in advance! !!

Hiyo Avatar yako ya kidevo woshipa!!!
 
usijali, unajua ulinzi wa manual ni mbaya! siupendi actually!

nna mpango wa kukuzungushia CCTV cameras nyumba nzima!

yani wewe ukiwa room tu ndani ya blanketi, unaangalia kila kitu ndani! usijali ma mkwe!

na wachawi ntawaona mkwe?
 
Back
Top Bottom