HODI chit chat

HODI chit chat

mwenzio nilikuwa nilikuwa mfungwa huru,hii ni baada ya kukamatwa na serengeti girl mwenyeji wa kule yalipo anzia mapenzi, ila nashukuru kwa sasa nipo nje ya kifungo.

mi nashauri wakufunge tena
 
na wewe unamjua uuuwiiii !!! sijui kama hakuuwa mtu kweli huyu lusungo mie nawajua sana akina lusungu kila wakionacho lazima bhasunge mlosungo.


ha ha ha

sijaua mtu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom