kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
kumbe huku nisawasawa na kule siasani ?
sasa tukimbilie wapi mkuu ?
kumbe Ndio wewe mmoja wao ...!
kumbe huku nisawasawa na kule siasani ?
sasa tukimbilie wapi mkuu ?
nawewe princess enny ni mkaguzi ?Karibuuuuu hop Lady doctor kashakukagua
Mhh wapi?
sema tumemissiana lol. Arushaone hajambo ? mwambie mie nijambo.
hajambo.....
mke mwenzio Evelyn Salthajambo, mke mwenzangu hajambo?
Ndo kiko wapi hicho?
ma mkwe shikamoo!
mke mwenzio Evelyn Salt
huyohuyo
Natumai unanguvu na afya
marahaba mkwe, uko poa?
salama kabisa ma mkwe... ulikosa usingizi mamii?