nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Naomba kukaribishwa...chakula ninacho...nimebeba mambuta,masato,mambute na mahela niliyo yapata baada kuuza mang'ombe huku kwetu Magu- Mwanza
Karibu ngosha jamvini.
Ulimola,pamba bado mnalima huko?
Wewe siyo mgeni labda useme ni ID ya ngapi ngosha???? Karibu sana mgeni mwenyeji.