Hodi A Town

Hodi A Town

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Haya wale wa ar natia timu huko monday, hebu tell me how to utilize my two nights stay.

Sijawahi kukaa ar zaidi ya kukatisha tu nikitokea manyara. Nambeni semina elekezi wadau
 
Umepanga kufikia wapi na unapendelea kuja kuona nini!?

Nafikia katikati ya jiji karibu na golden Rose Hotel, napendelea kuona vyote vinavyofurahisha macho, kama ni yale mambo yetu yale, hayaa kama ni misosi ya nguvu hayaa, kama ni Kinana Lager hayaa... alimradi raha tu.
 
Kwa misoc na kinana huku ni always sema kama ni mpenz wa club huku huwa znaanza j5 mpaka j2 ambazo uitwa club za maana zilizobaki ni pub ambako uwe vizuri kujiangalia mara 2 ukizubaa wanakuzidi.Karibu sana ndg
 
Asante mkuu kwa taarifa, hapo kwenye kuzidiwa una maana ya vibaka au?
 
Back
Top Bottom