gbrother
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 408
- 51
Ndugu naomba tusaidiane kwa mwenye kujua undani hasa wa hii taasisi inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND (HLSSF) ambayo nayo imetangaza kutoa mikopo ya elimu ya juu kama HESLB. Yenyewe ili uweze kupata mkopo unatakiwa uwe mwanachama wake kwanza kwa kulipia ada ya uanachama, then ndio unadownload form yao ya kuomba mkopo kwa tsh 20000, mwisho ni wa maombi ni tar 30/10. Hawajatoa criteria na mchanganuo wa mkopo hasa kiupambele ni course gani, ila ukimaliza chuo baada ya miaka miwili unatakiwa uwe umeanza kurudisha deni, na makato yake ni 10% ya salary, na ndani ya miaka kumi unatakiwa uwe umemaliza deni.
MWENYE KUWAJUA HAWA JAMAA KIUNDANI HATUJUZE MAPEMA JAMANI, YASIJE YAKAWA KAMA YA DECI.
MWENYE KUWAJUA HAWA JAMAA KIUNDANI HATUJUZE MAPEMA JAMANI, YASIJE YAKAWA KAMA YA DECI.