Mambo kama haya sijui kwa nini tumeumbiwa binadamu mkuu.Ni kitendo cha aibu lakini ndiyo afya yenyewe 🥲🙌
Sisi zamani tulikuwa tunatafuna mizizi fulani ili kuondoa hizo gesi na kuweka sawa mwenendo wa tumbo
Hata wanyama wengine nao wanatoa gesi (farting)Mambo kama haya sijui kwa nini tumeumbiwa binadamu mkuu.
Ila ndo hivyo tu!
Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana😂😂Hata wanyama wengine nao wanatoa gesi (farting)
Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani
Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana 🙌
Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani🙆🏿♂🙌🏿😂Hata wanyama wengine nao wanatoa gesi (farting)
Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani
Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana 🙌
Tena vijana wa siku hizi wanatakiwa wapige kufuli milango yao ya ushuzi wakiwa kitandani, la sivyo wakiachana wanaanza kutangaziana mitandaoni kuwa fulani kwenye kujamba si haba.Hata wanyama wengine nao wanatoa gesi (farting)
Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani
Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana 🙌
Ndiyo ukweli huo Mkuu 😅Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani🙆🏿♂🙌🏿😂
Kwa kweli MkuuTena vijana wa siku hizi wanatakiwa wapige kufuli milango yao ya ushuzi wakiwa kitandani, la sivyo wakiachana wanaanza kutangaziana mitandaoni kuwa fulani kwenye kujamba si haba.
Sisi wa mwaka 47 tumshukuri mungu kwa kutokutwa na mitandao ya kijamii.
Waulize hata humu jukwaani, wangapi wamewahi kusikia mwenza wao akipumua 😅Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana😂😂
Sana. Radio imejaa wahuni watupuNi wadau!?
Tatizo ni kwamba mtu anaweza akajibana sana, lakini siku Moja akajisahau na kiachia kitu.Kwa kweli Mkuu
Sisi wa mwaka 47 walau tunavifua, ila hawa wa miaka hii hawachelewi kutangaziana kwa watu 😅
Aisee😆Tena vijana wa siku hizi wanatakiwa wapige kufuli milango yao ya ushuzi wakiwa kitandani, la sivyo wakiachana wanaanza kutangaziana mitandaoni kuwa fulani kwenye kujamba si haba.
Sisi wa mwaka 47 tumshukuri mungu kwa kutokutwa na mitandao ya kijamii.
Hahaha 😂Tatizo ni kwamba mtu anaweza akajibana sana, lakini siku Moja akajisahau na kiachia kitu.
Na kisaikolojia, mwenza wako akishakusikia umeachia kitu, basi wewe anza kumakinika naye japo usikie naye akiachia kitu na umuoneshe kabisa umesikia ili ngoma iwe ndroo, roho yako itulie 😂
Kila mmoja akishuhudia/ akisikia mwenzake kaachia kitu basi watu wanakuwa comfortable, 😅
Haya maisha 🙌
Tafiti juu ya tafiti 🙌1.Tafiti nyingine inasema kwamba mwanaume anayefanya mapenzi mara kwa mara ana hatari ya kupata tezi dume
2.Kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu huongeza hatari ya kukumbwa na magonjwa ya akili