Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
- Thread starter
- #21
hiyo no 2 ni kero na inazidi kukuwa kwa kasi sana!!
Wakaka jamani wenye hiyo hulka mkome!
Mimi wakati mwingine hadi najikuta nakasirika, hawalali kazi kutufedhehesha tu.