Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
- Thread starter
-
- #61
Haya sasa ......... Weken picha ngum watu mnawachanganya kwa Avatar izo na wengine wakisomatu michango yako unamvuta anajikuta keshakupm
Ubabe sasa ndio kidogo siuelewi unatokeaje wakati waweza tu kumpuuza --- Ukipenda lig kidogo itakusumbua
Huko mjini mna mambo, hii nayo ni nini?
Hiyo point yako ya 3 ya "kudhalilisha wanawake" i think inakuuma watoa mada wanaposema kuwa wanawake wanaopiga mizinga wanajiuza, because maybe ww ni Mmoja wa wanaopiga wanaume vibomu Apologise lady
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
hili wazo ni productive .. naomba afanye himaHii ilitakiwa iwe namba moja mama, Apologise lady hebu edit hiyo kitu utupiemo na hiyo
Ubabe wa kumnyima mwenzio papuchi hiyo tabia nayo ikome
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
Nawe kutuandikia humu ukome 😅
Hii ilitakiwa iwe namba moja mama, Apologise lady hebu edit hiyo kitu utupiemo na hiyo
Mimi wakati mwingine hadi najikuta nakasirika, hawalali kazi kutufedhehesha tu.
sawa mkuuHii Koma sasa kwa kila mtu akome(Mkitoa Papuchi tutawapa mkwanja msijali)
ha ha ha ....[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
Hahaha mtafedheheshwa sana mkuu tatizo lenu na nyie Kama kambale , baba ndevu, mama ndevu Tabu tupu hamna namna sasa tutawaanika tu😀😀😀😀 Apologise lady
Cc rubii
ukitoa utapata tuMnavyopenda. Kutugeuza wanaume vicoba , papuchi zenyewe mnatubania miss chaga
ndo s mpeane tu kwan namba ya simu kitu gan peanen bhana kumnyima mtoto wa.mwanamke mwenzio zambi