Hizi tabia kwa baadhi ya wanaume mnazionaje?

Hizi tabia kwa baadhi ya wanaume mnazionaje?

Hiyo namba moja,mbona ni ya kawaida,au mkuu we hua unasalimianaje na wanaume wenzio?

No.2 pia ya kawaida sana hiyo
No.3 &4 ndo tunaweza sema labda huyu mwanaume ana walakin
5.Siku hizi hakuna kazi ya kike wala ya kiume,ili mradi mkono uende kinywani
 
Sioni shida yoyote hapo labda kwa kuwa wewe in wa mikoani pia acha kudharau kazi ya mtu kwani kupamba or kuremba wanawake(wamasai) hufanya wapoteze uanaume wao?tena wao huwa na bahati ukamua wanawake zenu hatarii

Mleta maada naona bado una ubaguzi wa kijinsia hivi kukaa na wanawake kuna kubadilisha jinsia wakati nasoma chuo group letu loote walikuwa wanawake kasoro me na nilibamiza wote na mpaka Leo wananishangaa.

Pia kushikana mikono sioni madhara yoyote kwan wana Ebola? kuhusu kucheka hiyo ni hulka ya mtu.

NB:Tambua binadamu tunatofautiana kile ambacho wewe unaona siyo sahihi wenzako ukiona sahihi and Vic vesa iz true!!!
Utakuwa na hizi tabia sio kwa povu hili
 
Wana ebola[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu wacongo ndio walianza huduma ya saloon kwa wanaume.
Wanaume wako poa sana.
Ndo mana hata wadada wakiingia saluni kama kuna mhudumu wa kiume wanamng'ang'ania mana kiukweli wanaume hua hawalipui kazi,tofaut na wanawake anakuremba remba tu ili mradi awahi kumaliza
 
Sasa ndo umeandika.mann haya ??

Nikisema teh teh teh inanifanya nisiwe na mwanamme?????

Tunahimiza kazi ,nan kskuambia ukijiingiza ktk izo kaz unakua mwanamke???

Unazungumza kutembea mmeshikana mikono ,unajua kina cha urafiki/ndugu???

Kusema mambo shida iko wapi ,au kisa upo nademu???

Mimi toka nasoma wadada walikua wakinipenda mno ,yaan walikua wanapenda vituko vyangu ,utakuta wamenizunguka , namatokeo yake walikua wananitunuku bila hata kutongozana tongazana ? Kipi kiliharibika.???

Mimi sijaona kibaya hapo,, au umemanisha nn
 
Naona nimekosea njia huku, huu umeletwa na mtu mwenye stress au hana kazi. Kifupi m mbeya flani hivi.
Sasa hapo ajabu ni ipi!!!!!!?[emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom