Hizi tabia kwa baadhi ya wanaume mnazionaje?

Hizi tabia kwa baadhi ya wanaume mnazionaje?

Kwenye mapambo na saloon wanaume wako vizuri wewe. Unashangaa wanaume wanaofanya kazi saloon na mapambo mbona hushangai wanawake wanaobeba zege

Ingawaje mambo ni mabadiliko hata hilo nikiliona lazima nishangae kwa kweli siwezi ongopa
 
Naanza na no 10. Mwanaume kujishughulisha na Mapambo napenda sana maana haibadilishi asili yake kwamba yeye ni mwanaume.
No 7 pia sioni shida yake kwani Teh teh huwa inatamkwa au inaandikwa?
No 6 pia haina shida salam tuu.
umeongea ukweli kazi ni kazi na ukifatilia vizuri watu wa nchi maskini tunaongoza sana kubagua kazi za kufanya ndio mana wengi wetu tunapenda sana kutegemea ndugu wenye kipato kizuri
 
Mmh. Wewe tu unataka kujipa stress kwa maisha ya watu. Na hii ni dalili kwamba huna shughuli za kufanya umekalia kuchunguza wanaume wenzio.

Na hiyo namba mbili wacha uongo sio kabila hilo pekee wana andika hivyo. Teh teh.

Sio kuandika bali kutamka...
 
Hilo la mwanaume kusalimia mambo hata mi huwa linanishangaza mana salam hii imezoeleka kutumiwa sana na wadada
 
kuna vitu havipendezi kwa mwanaume kuvifanya.....
 
1)hiyo salamu ya "mambo" inakuwa ni hilo neno peke yake ama?
2)sioni shida hapo
3)kwa zama hizi hii ni shida kutokana na mambo ya ushoga yalivyo shamiri ila zamani hakikuwa kitu cha ajabu
4)wavulana ndiyo hufanya hivi
5)hakumuondolei uanaume huyo. tena hawa ndiyo hutafuna mademu zenu sana huko mtaani
 
Back
Top Bottom