Hizi taarab zenu zimejaa matusi mno!

Ninyi ndiyo watu ambao mkisikia "watu wanakazana kwa bidii kusukuma gurudumu la maendeleo" mnasema hayo ni matusi
 
Watani zangu Wahehe wao husema"WE NIANGUSAGE TU" manyimbo yametuharibia dada zetu wa kisukuma siku hizi utawaona kwenye sendoff na kitchen party wanaweka viti katikati ya miduara na kusaula hovyo tu...zamani nyimbo za akina marehem Matola zilikuwa na mafumbo yaliyojificha sana ukilinganisha na nyimbo za mashuuuuz taarab....muziki mzuri ila maneno sasa...kama serikali inaweza kuzuia nguo za ndani za mtumba inshindwa nini kufungia bendi kama sio tracks hizi...

ndugu kama wale wa zamani walikuwa na "mafumbo yaliyoficha sana" na za sahivi "zimefichua" tofauti inakuwa wapi? kwasababu wote wanalenga lilelile na mwisho wa siku watu wataelewa
 
haaa wap huo wimbo hausemi hvyo hamna wimbo unaosema nipe raha mpk nikojoe huo ni uzushi huo wimbo ninao
 
mmmmmm sijaisikia mie kipande hicho,nimeacha kwenda zamani kwenye Taarab Tangu nimeolewa..
 
Ijapokuwa mimi sio mpenzi wa haya manyimbo ya taarab lakini nimepata kusikia kipande kwenye mashairi ya mzee yusuf ambayo yamenisikitisha sana.

Mzee yusuf (MY) alikuwa akiimba huku akiitikiwa na dada (DD) mmoja:

MY: Mpenzi wangu nipe rahaaaa!

DD: Nipe raha mpaka nikojoeeee!

Ndugu zangu, hii maana yake ni nini? Kwa nini jamii inalazimishwa kusikilizishwa matusi huku vyombo vinavyohusika na sanaa nchini (BASATA na/au COSOTA) vikiwa kimya?

Na ni bahati mbaya kwamba wadau wakubwa wa hizi taarab ni kinamama na watoto. Tunawafundisha nini watoto wetu kwa hizi nyimbo za matusi?

MAJANGA!
Hahaha siyo nipe raha mpaka nikojoe bhana

Nipe raha mpaka nipagawe
 
Ninyi ndiyo watu ambao mkisikia "watu wanakazana kwa bidii kusukuma gurudumu la maendeleo" mnasema hayo ni matusi
mkuu acheni kushabikia UJINGA. kwa status yako sikutegemea hata wewe kuhalalisha matusi kwa mfano usiosadifu. unadhani neno KUPEANA RAHA MPAKA KUKOJOLESHANA ni maneno sahihi kuongea mbele ya watoto?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom