hata sunglasses sijaziona. MmhUlishawahi kumuona shetani wewe?Please msijaribu ku-concentrate kwenye hiyo picha, maana shetwani ananguvu sana.
Kulingana na Mafundisho Tunayopewa na Viongozi wa Dini, Shetwani Anaonekana Kupitia Matendo Tunayatenda.Ulishawahi kumuona shetani wewe?
ayaa!.. amechafuka na mchanga! unaniruhusu kumfutafuta huo mchanga?!..mzuri lakini fake,weka serena hapo
View attachment 404020
Ahaa!... ok..ok.. hiivii kuna miwani hapo?!...We unaangalia wapi? Sisi tunasema miwani.
koma kabisa,unatabia mbaya wewe!!!🙁🙁😡😡😕ayaa!.. amechafuka na mchanga! unaniruhusu kumfutafuta huo mchanga?!..