Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,661
Hivi WhatsApp mtu anatakiwa aweke status ya aina gani hasa kama ni mwenye staha?
Ni mimi tu ambaye labda siendi na mwendokasi au inakuwaje?
Nachungulia status ya mdada mmoja hapa inasomeka hivi "Kill them with success and bury them with a smile".
Tunaouwawa na mafanikio yake ni sisi sote ambao tupo kwenye contact book yake au kuna walengwa?
Ni kawaida na nyie mnakutana na hizi status wakuu? Hebu tupia moja kama kweli!