Nyoka ni ulinzi wa kiroho... Hayo maporomoko sio ile udenda kweli? Lakini kuna Wakati roho zetu hututoka na kwenda kuivinjari dunia huko hukutana na milima na mabondeMkuu mimi kuna wakati nilikuwa naota nyoka wananitambaa mwilini mpaka nasisimka kwa hofu, sijuwi hiyo ndoto inamaanisha nini?
Ya pili ni hii,naota naporomoka kutoka katika maporomoko ya maji na kwenda mpaka chini,ndoto hiyo nayo inamaanisha nini mkuu?
Mbuzi ni mnyama msumbufu na asiyetulia kuna mambo yanakuzonga na bado hujayapatia ufumbuziHabari mshana Jr
Nimeota njozi moja sijui maaana yake
Nilikua nimelala na mpenzi wangu na nikaota nachunga wanyama wengi sana ila katika hao wanayama kuna mbuzi na mtoto wake mweupe wamenisumbua sana , nikawachapa sana mpaka wakashindwa kutembea...
Sio udenda mkuu!Nyoka ni ulinzi wa kiroho... Hayo maporomoko sio ile udenda kweli? Lakini kuna Wakati roho zetu hututoka na kwenda kuivinjari dunia huko hukutana na milima na mabonde
Hizo ndoto zote zina mahusianoMkuu mimi kuna wakati nilikuwa naota nyoka wananitambaa mwilini mpaka nasisimka kwa hofu, sijuwi hiyo ndoto inamaanisha nini?
Ya pili ni hii,naota naporomoka kutoka katika maporomoko ya maji na kwenda mpaka chini,ndoto hiyo nayo inamaanisha nini mkuu?
Tuanze kwanza kwa kujua maana ya mambo ulio yaona kwenye ndoto kibiblia km ni mfuasi wa bible lakini.Mara unaota umekamatwa mateka unaenda kuuwawa! Mara niote nimeangusha mtoto! Mara yaani am very frustrated
Mchwa ni wadudu waharibifu lakini wakifanywa chakula wana vitamin nyingi... Kuna baadhi ya ndoto huwa na tafsiri kinyumeJamanii Jana nimeota napambana Sana na kundi la mchwaa Wana ning'ata uku na Mimi nawakanyaga na miguu nikiwa nimesimama!!!maana yake Ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa
Jr
Ukiachana na la kupata mtoto kuna mambo unayafanya lakini hayafikii tamatimim juzi nimeota nna mimba naumwa uchungu nataka kujifungua lakin mtoto hatoki mara niondoke hospital nikampumzike kisha nikiumwa naaanza kutafuta hospital nyingine huduma hakuna uchungu unaniuma huku damu zikimwagika nikawa natamani iwe ndoto nilivyoshtuka asubuji nilishuruku
Sasa sijui ina maana gani sijui natamani sana mtoto
Ukiachana na swala la hamu ya kupata mtoto kuna mambo huyakamilishi ama hayakamiliki pamoja na kuyaanza vemamim juzi nimeota nna mimba naumwa uchungu nataka kujifungua lakin mtoto hatoki mara niondoke hospital nikampumzike kisha nikiumwa naaanza kutafuta hospital nyingine huduma hakuna uchungu unaniuma huku damu zikimwagika nikawa natamani iwe ndoto nilivyoshtuka asubuji nilishuruku
Sasa sijui ina maana gani sijui natamani sana mtoto
Mshana nasumbuliwa na hizi ndotoUkiachana na swala la hamu ya kupata mtoto kuna mambo huyakamilishi ama hayakamiliki pamoja na kuyaanza vema
Jr
Piga nyungu mseeMshana nasumbuliwa na hizi ndoto
1.kuota mara kwa mara nipo shule ya msingi nafanya mtihani na classmates wenzangu ambao nilisoma nao miaka zaidi ya 15 iliyopita wakati tayari nmeshamaliza chuo.
2.Kuota nakula vyakula mbalimbali ila si nyama...