Hizi simu zinazotumia chip za mtk ni balaa

cathode

Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
78
Reaction score
54
Heshima kwenu wakuu.Nisipoteze muda napenda kuleta mrejesho kuhusu hizi simu zinazouzwa Kwa bei ya promosheni ni kisanga baada ya simu yangu kuleta shida ya display nikairudisha kwao Tigoshop wakagoma kunibadilishia ingawa ilikuwa ndani ya warrant nikasema fresh tatizo umaskini. Yote kwa yote kwa sasa mara ionyeshe majina mara yasionekane nikaamua kumpa wife aiburuze maana yeye haangalii ubora wa simu shikamoo mchina.
 
Usicheke mkuu yakiwa bado hayajakukuta unaweza dhani uongo.Tutafute hela tununue simu tuachane na camera hizi ni shida.
Pole mkuu mm tecno situmii nikikosa simu natumia kitorch
 
Heshima kwenu wakuu.Nisipoteze muda napenda kuleta mrejesho kuhusu hizi simu zinazouzwa Kwa bei ya promosheni ni kisanga baada ya simu yangu kuleta shida ya display nikairudisha kwao Tigoshop wakagoma kunibadilishia ingawa ilikuwa ndani ya warrant nikasema fresh tatizo umaskini. Yote kwa yote kwa sasa mara ionyeshe majina mara yasionekane nikaamua kumpa wife aiburuze maana yeye haangalii ubora wa simu shikamoo mchina.
Ubovu ubovu tu.... Kwani hizo iPhone na Samsung haziharibiki??!!!!
 
Toka ninunue oppo sijawahi jutia, huwa nawaza na kufikiri yaweza kuwa samsung halingani na oppo a3s sijawahi juta .. sababu nimemlikii samsung j5 prime baada ya mwaka nikaanza restore [emoji848][emoji848][emoji848][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii mashine toka mwezi wa 11 mwaka jana mpaka leo sijawahi ona mapungufu yake hakika naipenda sana
 
Hongera yako mkuu.
 
Back
Top Bottom