Hizi simu zinazotumia chip za mtk ni balaa

we nawe ukatoka ukaenda nunua mtk bila kuangali type ya cpu iliyonayo unachanganya na show, pia tatizo la majina kuonekana au kutooneka problem ni ndogo saana kama unaelewa mpana katika hayo naona mkeo ndie anaejua zaidi sababu anamudu vilivyokushinda😀😀😀😀😇😂😂😂😂😂😂😇😂😂
 
Oppo ni
Toka ninunue oppo sijawahi jutia, huwa nawaza na kufikiri yaweza kuwa samsung halingani na oppo a3s sijawahi juta .. sababu nimemlikii samsung j5 prime baada ya mwaka nikaanza restore [emoji848][emoji848][emoji848][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii mashine toka mwezi wa 11 mwaka jana mpaka leo sijawahi ona mapungufu yake hakika naipenda sana
mashine
 
we nawe ukatoka ukaenda nunua mtk bila kuangali type ya cpu iliyonayo unachanganya na show, pia tatizo la majina kuonekana au kutooneka problem ni ndogo saana kama unaelewa mpana katika hayo naona mkeo ndie anaejua zaidi sababu anamudu vilivyokushinda😀😀😀😀😇😂😂😂😂😂😂😇😂😂
Hujajua tu mkuu matatizo ya hiyo simu na kuhusu majina mimi huwa narestart ndio yanarudi coz ni mambo madogo kwangu ila sikupenda usumbufu ndio maana nikaachana nayo
 
mbona tatizo dogo tu ilo wala huitaji kurestart restart.
 
Back
Top Bottom