Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys

Hatujui English compared to other people,namely Ugandans and Kenyans...
Is this even a debate?
Atleast we are bridging up the gap with explosion of international schools in TZ!
We should give it time,say 5-10yrs we will be at par!
Tatizo una unafiki sana kama mwanachama wa CCM....
Ondoa unazi,toa balanced obseravation wewe!
Ila wewe jamaa unajidharaulisha tu hapa
 
Ila wewe jamaa unajidharaulisha tu hapa

Sijakuelewa kabisa....

Mwenzako kakupita darasani,kachukua namba moja...

Then wewe upo namba mbili,ila ulivyo dellusional unasema upo namba moja na huna haja ya ku-improve chochote na hutaki kuelewa chochote?

Cha kwanza ni kujua nakosea wapi na natakiwa nifanye nini asiweze kunipita tena...

Ila wewe unaleta idea ya denial kabisa which is counter productive to yourself hapo hapo.

Which is nonsense!

Kuna vitu wametupita,tujifunze!

Kuna vitu na sisi tumewapita,wanajifunza!.....kama ilivyo democracy,tulikua tunawapita,wamebadili katiba,sasa hivi wapo level za SA na Ghana kwa democracy,wametukuta na wametupita....

Hatujifunzi tu???!

Yaani kuna majitu maficha maradhi.....kuna siku vifo vitatuumbua!
 
Mimi ni mtanzania ila kiukweli tena kwa dhati kabisa Wakenya wapo miaka mitano mbele yetu kabisa.

Yale tunayoyafanya hapa baada ya watu kutumbuliwa na serikali hasa katika ujasiriamali Wakenya wameyafanya back from 1999's .

Their work ethics na kujituma kazini wapo vizuri sana na labda ni kutokana na fewer opportunities za ajira nchini kwao zinazowashape kujituma kazini

You want to prove that Kenyans are ahead of us? Ok Visit Arusha and Moshi atleast look at their daily work behavior and social organization yao.

Mwisho Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kukua na kuipiku Kenya ndani ya miaka michache ijayo only if Education will be given to many people and jobs are rarely
"and jobs are rarely" Hapa ulikua una maana gani?
 
Naona umegeuka mganga wa kienyeji or some kind of a prophet...

Haijalishi unaniwazia nini kwenye ubongo wako wewe binafsi hakuathiri my Chagga status.

Ni vizuri mjadala ule wa Wachagga tungejibazana kule!

Ungenipinga hoja zangu kule,kuja kusemea huku kwenye uzi tofauti kabisa inaonesha your bitch moves!

Huu uzi tunajaribu kuona kweli Wakenya wanatupita?

Yes wanatupita,kwa kiasi gani?

Je njia za kujipanga tuwapite ni zipi?

Ni hizi,tuzifanye,tujipe 10yrs tuwe tushawapita!

Then anakuja some stupid motherfucker with weakling thinking amekaa kwenye keyboard yake huko nyumbani kwake kazingirwa na nzi anajiamulia kutoa uraia kwa some random internet characters kama Wyatt Mathewson eti sababu hoja zao zimepingana na zake on some issues!

Really?

Wewe mpumbavu Watanzania hatujitumi ili kuipita nchi ya Ulimwengu wa Tatu Kama Kenya,
Tunapambana na hali zetu, Tunafanya mambo kuboresha maisha yetu, nchi yetu na familia zetu, Hayo mambo ya kushindana na kutafuta masifa ya Kijinga bakini nayo huko kunyaland.
 
Wewe mpumbavu Watanzania hatujitumi ili kuipita nchi ya Ulimwengu wa Tatu Kama Kenya,
You see.....thats why you are in poverty!

Ndio maana watu competitive wanazidi kutufunika kila siku!

Hii haijatokea kwa bahati mbaya

Mimi siwezi kua kwenye mentality ya kipumbavu namna hii ya kukaa bila competition eti kwa wishful thinking ya kuona immediate competitor wako eti sio opponent wako...

Kwahiyo wewe unashindana na taifa gani?Hebu litaje?USA?Utakua na mavi wewe!

Hata hujui law ya regions wewe..Hivi maswali ya History na Civics ulijibuje Form Four wewe?Ulikua ukitoa mfano wa Tanzania unaweka na USA hapohapo?Ndio maana ulifeli.

Toa tongotongo,jua tunachotakiwa kukifanya,tufanye,tuwavuke hawa watu..acha kuota!

Tunapambana na hali zetu, Tunafanya mambo kuboresha maisha yetu, nchi yetu na familia zetu, Hayo mambo ya kushindana na kutafuta masifa ya Kijinga bakini nayo huko kunyaland.
Pambana na uzembe wako wewe mwenyewe....

Usidhani ni sisi wote....

Huna mamlaka ya kuongelea Watanzania wote,tupo sisi wengine wenye kwenda na competition inch by inch...

Jisemee wewe mwenyewe huko na mediocrity yako wewe huko huko!
 
Ulisoma St Anthony.....

Ina maana hukupata perfect score primary school ya 150...

Hivyo shut up and move on with a program!
huyo jamaa ni bwege ni bwege...yani eti mkenya atoke kenya aende kusomea tanzania...ywajaribu ku create sceen hyo...tangu nijielewe sijaskia dogo yyte yule ambae eti kaenda kusoma tanzania...sijui kw wakenya wenzangu ambao wameishi maeneo tofauti...ila south africa,uk,usa mbna nimeona wengi tu...hta uganda kiasi...lkn sijaskia mzazi eti anampeleka mtoto wake shule tanzania...bali watanzia wengi ndio walikuwa wakija hku ..tumesoma nao wengi sana...mtu likizo ywaregea zake bongo..bwahaaa
 
Wakenya mnachojua ni Utapeli + Ujuaji mwingi for nothing!!!
1102952
 
Bado Kenya ni watumwa. Awajajitawala kabisa. Uwezi kuringia utamaduni wa bara jingine. Lugha, tabia, na kijifanya eti ni maendeleo. Wachina, warusi, wajerumani, arabu, wanatunza tamaduni zao hada lugha zao. Na Tanzania hivyo hivyo
 
Nani aliwadanganya kuwa mna lugha nyinyi?
 
huyo jamaa ni bwege ni bwege...yani eti mkenya atoke kenya aende kusomea tanzania...ywajaribu ku create sceen hyo...tangu nijielewe sijaskia dogo yyte yule ambae eti kaenda kusoma tanzania...sijui kw wakenya wenzangu ambao wameishi maeneo tofauti...ila south africa,uk,usa mbna nimeona wengi tu...hta uganda kiasi...lkn sijaskia mzazi eti anampeleka mtoto wake shule tanzania...bali watanzia wengi ndio walikuwa wakija hku ..tumesoma nao wengi sana...mtu likizo ywaregea zake bongo..bwahaaa

Ahaaa haaa haaa
Mimi nimesoma na jamaa mmoja form five na six KUTOKA Kenya. Hiyo ilitokea baada ya kushindwa kuwa na sifa ya kujiunga na chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Maana alitokea Nairobi university.
 
heheeee...kw longo longo tu hamjambo...mkenya aache UON aende UDSM aingie form 5na 6...ndio apate nafasi ya kujiunga na udsm...you are a total liar my friend..jst come up with another excuse...
 
Huamini?
Sema humu hatupaswi kuwataja WATU.
Lkn nimekutajia kabisa, halafu umuulize.
 
Back
Top Bottom