Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys

Raw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??

You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
Blah blah blah

Twende tukafanye kazi,acha pipiiii nyingi...

Tunavyoendelea kupoteza muda na hizi porojo hawa wehu wa Kenya wanazidi kukazia gap..

Shika shamba kalime tufanye exports!
 
Kwa mweupe kama wewe lakini sio kwa mtu kama mimi ambae nimeshawahi kuwa-lead hadi watu wa nje ya Afrika! Pole sana, seems you're not in my league!

Btw, kwanini uwaone wapo smart sana only kwa kuwaangalia watu wa juu ambao ni tone tu la maji kwenye bahari?!

Oh yeah?!

Lead for Africa,yes....leading mavi!

Thats cute!
 
Parliamentary committees zao ni kama za US congress....watu wanahojiwa kwa congressional hearing live on TV kama CSPAN ya US vile....

PAC inahoji senators live on TV matumizi ya serikali kwenye county zao kwa kutumia report za CAG wao na watu wanajibishwa live on TV....

Sisi hapa tunafanya umatako juu ya umatako....Report ya CAG spika alivyo mwehu hataki ijadiliwe!

Ten years ago Tanzania tulikua mbele ya Kenya kidemokrasia kwa hii hii katiba yetu kiwete,sasa hivi tumerudi chini kwenye matope.....

Mnaudhi sana *****
Those are theatrics … huwezi kufananisha corruption ya Kenya na Tanzania.
Kenya is waaay more corrupt! By far, far, far! Than Tanzania.
While Tanzania stands at the 99th position, Kenya and Nigeria share the144th position on the CPI ...
 
Raw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??

You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
Unajitahidi kuwa mstaarabu bruh. Don waste yo time on these brainwashed creatures who only speaks when it fits their illussions. Yoyote ambaye ana knowldge ya economics anaelewa kuwa unabishana na mtu ambaye hajui economics ni nini !!!!...
 
Blah blah blah

Twende tukafanye kazi,acha pipiiii nyingi...

Tunavyoendelea kupoteza muda na hizi porojo hawa wehu wa Kenya wanazidi kukazia gap..

Shika shamba kalime tufanye exports!
Wanakupita wewe labda. Mimi nawaona wapo nyuma yangu kwenye side mirror.
Huwezi kuniambia eti niadopt lifestyle yao, nah!
Especially coming from you.
 
Raw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??

You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
Hahahaa! Unajua nilikuwa sijaona hapo! We jamaa unayejita sijui Wyatt Mathewson, unaweza kutuambia hiyo Raw GDP ndo inakuwaje?! Kelele nyingi, ndo maana tangu mwanzo nilikuambia wewe jamaa ni mweupe, and totally insecure! Stop pretending to be like one while you're thousands of miles away from the perimeter!!
 
Unajitahidi kuwa mstaarabu bruh. Don waste yo time on these brainwashed creatures who only speaks when it fits their illussions. Yoyote ambaye ana knowldge ya economics anaelewa kuwa unabishana na mtu ambaye hajui economics ni nini !!!!...
You are right, napoteza muda.
 
Unajitahidi kuwa mstaarabu bruh. Don waste yo time on these brainwashed creatures who only speaks when it fits their illussions. Yoyote ambaye ana knowldge ya economics anaelewa kuwa unabishana na mtu ambaye hajui economics ni nini !!!!...
Beautiful advice! Hata kama ushauri huo sikupewa mimi, nami sina budi kuufanyia kazi!!
 
Those are theatrics … huwezi kufananisha corruption ya Kenya na Tanzania.
Kenya is waaay more corrupt! By far, far, far! Than Tanzania.
While Tanzania stands at the 99th position, Kenya and Nigeria share the144th position on the CPI index ...

Acha upumbavu wewe.....

Corruption ni political will ya rulers tu....

Tatizo mifumo ya proper democratic government setup wameweza...

Misingi ya proper functioning democratic capitalist nation washaiweka....and this is not a small matter....

Katiba yetu ya Warioba ilikua irekebishe mambo yote haya,ila mmeiua!

Sijui twende kwa nani masikini?

Sisi tumeparaganyika hatujui cha kufanya....Jiwe katuharibu 100%!

Na by the way,corruption yao na ile yetu ya 1.5T wapi na wapi?
 
Beautiful advice! Hata kama ushauri huo sikupewa mimi, nami sina budi kuufanyia kazi!!

Nani alikwambia upoteze muda na mimi to begin with?

It shows yourjudgement skills are suspect,its totally your own problem!

Usipoteze muda wa watu kuomba ushauri kwa maamuzi ya kipumbavu uliyofanya wewe mwenyewe kubishana na mtu wewe umeona anakupotezea muda!

Infact,wewe mwenyewe ni part ya your own problem to begin with!

Blame yourself!

Thank me later!
 
True,napoteza muda,thats your problem,we cant help you!

Nani kakwambia upoteze muda na mimi to begin with?

Thats your own poor judgement,dont blame others!
You are so tempting to ….. urrghh!!
It was my poor judgement, you are right. Never thought Jay-Z was dumb.
 
Haha inferiority complex umekita sana Tanzagiza. Yaani mtu hawezi kukosoa sera za nchi yake na watu wake? Hahaha iwepo tu hivi washamlimbikizia kuwa yeye ni mKenya. Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana. Mtasalia kubaki nyuma tu.
 
You are so tempting to ….. urrghh!!
It was my poor judgement, you are right. Never thought Jay-Z was dumb.
You see!

Still doing dumb decisions discussing with a dumb guy like me!

Kama unafanya dumb decisions kama hizi ku-discuss na mtu dumb kama mimi basi wewe utakua ni dumber than me!

Jay-Z is an American rapper and a businessman,he is actually smarter than you and me...

Wyatt Mathewson wa JF is just an internet character,so relax!

Na ulivyo confused,umeona picha ya Jay-Z on my DP ukadhani mimi ni Jay-Z inaonesha una matatizo ya akili kabisa...

It is just a DP photo na sio eti mimi ni real American Jay-Z!

Tumia ubongo....at everytime!
 
Mimi ni mtanzania ila kiukweli tena kwa dhati kabisa Wakenya wapo miaka mitano mbele yetu kabisa.

Yale tunayoyafanya hapa baada ya watu kutumbuliwa na serikali hasa katika ujasiriamali Wakenya wameyafanya back from 1999's .

Their work ethics na kujituma kazini wapo vizuri sana na labda ni kutokana na fewer opportunities za ajira nchini kwao zinazowashape kujituma kazini

You want to prove that Kenyans are ahead of us? Ok Visit Arusha and Moshi atleast look at their daily work behavior and social organization yao.

Mwisho Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kukua na kuipiku Kenya ndani ya miaka michache ijayo only if Education will be given to many people and jobs are rarely
 
Exactly my sincere sentiments...

Ila watu humu watakuita sijui Mkenya and some other nonsenses!

Mimi kwetu ni Moshi,nawajua Wakenya in and out.

Najua inatakiwa tukimbie kama Watanzania tuwapite hawa watu....

Ukisema hivyo kuna majitu ya ajabu eti yanaona sio kazi yetu kushindana nao...

Sijui lini sisi Watanzania tutakua competitive kikweli hasa!
 
Mimi ni mtanzania ila kiukweli tena kwa dhati kabisa Wakenya wapo miaka mitano mbele yetu kabisa.

Yale tunayoyafanya hapa baada ya watu kutumbuliwa na serikali hasa katika ujasiriamali Wakenya wameyafanya back from 1999's .

Their work ethics na kujituma kazini wapo vizuri sana na labda ni kutokana na fewer opportunities za ajira nchini kwao zinazowashape kujituma kazini

You want to prove that Kenyans are ahead of us? Ok Visit Arusha and Moshi atleast look at their daily work behavior and social organization yao.

Mwisho Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kukua na kuipiku Kenya ndani ya miaka michache ijayo only if Education will be given to many people and jobs are rarely
 
Hao walio comment kuwa Kenya ipo vizuri compare Tz all are men. It seems baada ya kufika Nai walipata Demu za Kikuyu, Kamba, Luo.
Wazungu vile wakinogewa na Ma-luv acha waisifie mpaka Kibera slums
Useless comment
 
1101209
 
Hivi akili inapimwa kwa kujua kingereza?
Watu wengine mkuu unawasoma then unawahurumia tu,hiyo kenya inyosifiwa hapa bado ni masikini tu kama nchi nyingine tu za afrika,tukiondoa afrika ya kusini,morocco na egypt nchi nyingine zote including nigeria bado kuna kazi kubwa ya kufanya
So bado kenya ni duni tu kama zilivyo nchi zingine za africa
Hakuna kitu ambacho sisi watanzania tunaweza kujifunza kutoka kenya may be tujifunze kutoka morroco au south africa
 
Back
Top Bottom