komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
kwn jamaa keshawai sema kasomea chicagoTena hukusoma Chicago? No wonder jirani yangu hakuwa anamkumbuka mtanzania kwa jina la Elias Kimberly (eliakeem)😊😊☺
kwn jamaa keshawai sema kasomea chicagoTena hukusoma Chicago? No wonder jirani yangu hakuwa anamkumbuka mtanzania kwa jina la Elias Kimberly (eliakeem)😊😊☺
we unazuga tu..wala huna lolote..Ahaaa haaa haaa
Huamini?
Sema humu hatupaswi kuwataja WATU.
Lkn nimekutajia kabisa, halafu umuulize.
nikimbizwe na mkenya my foot, hawa makenya majobless au? Wanaokesha mitandaoni kuwakejeli Watanzania, sahau