Amani cyprian mmasy
Senior Member
- Jul 30, 2015
- 197
- 11
Ccm uu mwaka mwisho chukueni chenu
Tutakuwa na uzi wa kupokea matokeo ya kila kituo. Hii itakuwa ni kwa njia ya tarakimu na picha. Yaani tangazo litakalobandikwa kituoni la matokeo litapigwa picha na kurushwa jf