Kwahiyo unataka kutuambia kuwa kuna watu 12 waliojiunga na kundi la hao nyumbu wasiojua wanapoelekea?
Wewe ndo nyumbu..utapelekeshwaje miaka 50 bila kujielewa hata kama una maslahi nao..lzm kuna jamaa zako wanapigika..wakati wezio wanapiga mihela tu kama hawajui umaskini tulionao..shame on you!