Wadau kwa moyo wa dhati kabisa tangu Mh Edward Ngoyai Lowassa ajiunge na UKAWA nimefanikiwa kutoa ushawishi kwa watu 12 waliokuwa hawana mpango wa kupiga kura na wakakubali kuwa watapiga kura na kumchagua EL through CHADEMA na UKAWA kwani walikubaliana nami kwamba wamepigika.
Nilitumia vigezo vya uhaba wa maji, elimu duni, gharama za matibabu na issues za ufisadi wa escrow nikawatajia figures mbona wamepata hasira na chama chakavu? So in short, home kwangu kuna kura 3 ukiongeza hizo 12 nitakuwa na mtaji wa 15 (wote wamejiandikisha).
Kama kweli tunahitaji mabadiliko wako watu wasiojua umuhimu wa kura na wengi wamepigika ila hawajui kwanini kupiga kura. Hebu angalia vijana, wazee wa kijiweni, house girl wako, mafundi magari, wafanya biashara wa vigenge, wasukuma mkokoteni na wengineo hao wote waimbishe watakuelewa (Sina maana kuwa hao niliowataja hawajui ila wapo baadhi yao wako bize na mambo yao hawahangaiki na mambo ya uchaguzi).
Mimi naendelea na kazi ya kuwaimbisha waichinje CCM.Wewe je?