hizi ndoa wa2 wanalazimishwa au...

hizi ndoa wa2 wanalazimishwa au...

Rog3rz

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
44
Reaction score
26
Jamaa alikaa na chet chake cha ndoa kwa masaa 4
akikitizama, mara mke akamuona akamuuliza mume
wangu leo umekumbuka cku yetu ya ndoa? Mume
akajibu hapana, ila nilikua natafuta EXPIRY DATE LAKINI
MBONA SIIONI?
 
Daah! Mbona hata birth certificate hakuna Expiry date!
 
bora za mikataba zije bongo mana wanawake wanakeraaaa
 
hahahaaaaaaaaa,labda kweli...ila cna uhakika bhana,,
 
Sometimes mambo yakikutokea puani mbona utatafuta kila alternative!!
 
Back
Top Bottom