ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,853
- 36,235
Baada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani.
Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge
1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba.
Hapa mamba na wale wakubwa au machawa bila shaka hili linawakera
2 Kwenye ana kiherehere
Licha ya kuishi kwenye maji ila hutoka kuwinda nchi kavu.
Hili linawakera mamba na kuwaza kuwashugulikia mamba
3 kenge anakula takataka
Chakula cha kenge ni nzi na viumbe wengine wachafu
4 kenge hana madhara Kwa binadamu
Huu ndo ujinga wake akimwona binadamu hukimbia
5 kenge hupenda kuota jua
Hii ni tabia ya uvuvi wa mawazo na kiutendaji.
Kenge hawazi vikubwa yeye huota jua na kula nzi na Panzi tu wala hatamani samaki licha ya kuishi nao mtoni
6. Kenge ni kiumbe mjinga
Anaweza akala hata mayai yake mwenyewe
7. kenge hajitambui
Licha ya kuishi na vitoweo mtoni, kuwa kwenye maji machafu ila yeye vyote havioni
Hakika Watanganyika ni kenge rasilimali zote hizi ila shule hazina madawati, hospital hazina madawa, vijana hawana ajira n k
8 Kwenye yeye hutawaliwa
Watanganyika ni kenge tumekubali kutawaliwa na mamba kutoka CCM miaka yote hii
Naungana na mbunge kutoka Zanzibar kuwa Watanganyika ni kenge na ni kenge kweli
Watanganyika Sasa tujitahidi tutoke kwenye kuwa kenge tuwe mamba