kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Huyo jamaa hajatumia busara kabisa. Ilitakiwa waongee wasameheane tu ili yaishe. Kutoboana macho siyo sahihi kabisa
Sasa haji kuchukua mke wa mtu mwingine tena maana hapo atakuwa anasikia sauti tu hata kuona na kutambua kama huyu mzuri au mbaya haiwezekani tena. Ila jamani kuna wake wa watu wengine wazuri na wanalipa.
Bazazi sio polisi ni huyo anayechukua wake za wenzie. Hapo Polisi katoa fundisho kwa wakware wanaopenda kula wake za watu
Bazazi sio polisi ni huyo anayechukua wake za wenzie. Hapo Polisi katoa fundisho kwa wakware wanaopenda kula wake za watu
Ndo akome
Lkn tujiulize ni kwann mwanamke alikubali wakati anajijua ni mke wa mtu? Na vipi kama alisema hana mume
Haya kashamtia upofu baba wa watu,na mkewe kampa adhabu gani?
Wakati mwingine wenye makosa ni sie ke.