Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

Huyo jamaa hajatumia busara kabisa. Ilitakiwa waongee wasameheane tu ili yaishe. Kutoboana macho siyo sahihi kabisa

Hili jambo si rahisi kama unavyolisema.Oa halafu ugongewe ndio utajua jamaa kwa nini alifanya hivyo.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Unajua ukiwa na utajiri wa kurithi hata ukigongewa mke hutaumia sana kama mtu anayesota kutafuta kwa shida mara night mara 11alfajiri kila siku yuko barabarani na kurudi usiku ili mradi tu familia waishi vizuri alafu unakuta kuna kijana aka msela anafanya kampuni ya tigo ama voda kuamka saa 5 asb anakugegedea mke kwanza anapewa na chai ndo anaenda kazini kuuza line,lazima ufanye maamuzi yenye utata!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sasa haji kuchukua mke wa mtu mwingine tena maana hapo atakuwa anasikia sauti tu hata kuona na kutambua kama huyu mzuri au mbaya haiwezekani tena. Ila jamani kuna wake wa watu wengine wazuri na wanalipa.

kama huyo wa polisi, embu nenda ukamchukue.
 
Bazazi sio polisi ni huyo anayechukua wake za wenzie. Hapo Polisi katoa fundisho kwa wakware wanaopenda kula wake za watu

Ni kweli,mabinti wapo wengi tu hadi wanaamua kujiuza ili wajikimu kimaisha halafu wanaume wengine kwa kupenda vya bure hawataki kuoa na kuendekeza wake za watu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Lkn tujiulize ni kwann mwanamke alikubali wakati anajijua ni mke wa mtu? Na vipi kama alisema hana mume

Wewe inaelekea hujui hii story vizuri. Jamaa alifuatwa na Polisi na kuonywa aache kutembea na mke wake lakini jamaa kwa kauli yake alisema alishindwa kuacha kwa kuwa walikuwa wanapendana sana na Amina. Hivyo alikuwa anajua anatembea na mke wa mtu. Siifurahii adhabu aliyoipata lakini alipoonywa angeacha.

Tiba
 
i think hapo kuna mixing of story. uyu jamaa nijuavo mm alikuwa mkazi wa kigambon na kweli alikuwa mdokozi kwa mali za watu na kukaba but alikuwa na mtandao mzur na mapolisi ivo ye tupango akiingia asubui anatoka mchana. so tikio la mwisho ni wananch walichoshwa na kuwa huru kwake kusiko julikana ndo wakaamua mfanya ivo. na wala si mke wa mtu bwana
 
wanasema ufumaniapo hasira hufikia kilele asa matokeo ndo hayo. tusipende kulaumu wote mwenye mali wamechagua fungu lisilo bora kabisa.
 
Haya kashamtia upofu baba wa watu,na mkewe kampa adhabu gani?

Kwenye haya maswala ndiyo natofautiana na wengi!

Ningekuwa mimi huyo polisi wala singehangaika kumpofua huyo mwanamume. Kwani si aliomba akakubaliwa?! Mwenye kosa kwa asilimia 100 ni mwanamke na ndiye alistahili adhabu.
 
sisi police tunasema ukiwa na silaha kwanza usalama wako pili usalama wa ile silaha tatu usalama wa raia.na mamlaka haihojiwi. huyu afande anastahili tuzo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom