Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

Angemkata na pua hilo kitasa huyu wanawake walvo weng hv Anakomaliaa mke wa mtu jamaani

Mke wa mtu n sumu
 
Ilikuwaje ? Lakini ni picha ya kusikitisha sana.

yerewi pande zote mbili sina lakusema, ninachosema mke anauma a.. Ila jamaahuyu alikuwa kipofu toka mwanzo angekuwa anaona mkewamtu asingemgusa, hiinaonanisawa.! hafungwimtu, Muaache.
 
Usiseme hivyo wewe, punishment should fit the crime. hapa Ze Polisi ameenda mbali sana aisee.
Kama kila dhambi ingekuwa inatolewa adhabu hapa na kwa jinsi hiyo unafikiri tungekuwaje?
Haya hata useme shida ni mke wa mtu...Hao wasichana mnaolala nao daily na kuleta visa huku jukwaani kwani c wanakuja kuwa wake za watu?
Yani najua Mungu akituangalia jinsi tulivyopotea hasira zinaongezeka kila kukicha duniani, Ole wetu!!

Nawewe ni mmoja wao, ?. . unataka ubembelezwe kwakuulizwa kuwa upewe adhabu gani..? uache polisi hanahatia araaa..
 
Jamani sikua na jinsi zaidi ya mukfanyia hivyo.Maana nilimuonya sana lakini akawa mkaidi,mbaya zaidi akawa anapata mgao wa mshahara wangu kwa 20% hivi,sikua na jinsi mara baada ya kuona wife ananilisha tembere tuuuuuu wakati mimi natoa pesa ya matumizi ya kutosha,baada ya kufatilia nikabaini jamaa ndiye anayeifahidi pesa yangu,tena nilimuhurumia sana,maana lengo langu nimtoboe mpaka masikio kenge huyo!!
 
kama hakumbaka kwani kosa ni la nani?
Mkuu Fugwe nakuunga mkono asilimia 100,unapomfumania mkeo anazini na mtu mwingine tena kwa hiari yake mwenyewe,kosa la mwanaume ni nini!hiyo adhabu ya kumtoboa macho alistahili apewe huyo mwanamke kwani yeye ndio aliesaliti,anajijua kuwa ni mke wa mtu halafu anaenda kumvulia chupi mtu mwingine,na kibaya zaidi inaweza kuwa alidanganya kuwa hajaolewa.
 
Last edited by a moderator:
Alitakwa afe kwa kupigwa mawe ,askari kamhurumia sana.
Usiseme hivyo wewe, punishment should fit the crime. hapa Ze Polisi ameenda mbali sana aisee.
Kama kila dhambi ingekuwa inatolewa adhabu hapa na kwa jinsi hiyo unafikiri tungekuwaje?
Haya hata useme shida ni mke wa mtu...Hao wasichana mnaolala nao daily na kuleta visa huku jukwaani kwani c wanakuja kuwa wake za watu?
Yani najua Mungu akituangalia jinsi tulivyopotea hasira zinaongezeka kila kukicha duniani, Ole wetu!!
 
ukweli kuuana tena Jamani,.

Tuoneshe hapa Tanzania ni nani wanaouwana sana. Kila siku tunasikia Mushi kapiga ukoo mzima risasi sijui ufoo kauliwa mamake na yeye kakoswa-koswa, ni kina nani hao? ukweli ubaki kuwa ukweli, kuuwana muuwane nyinyi msingizie wengine? unanchekesha!
 
Kama alijua huyo ni mke wa mtu adhabu aliyo pewa anastahili maana jamaa wengine wanajiona vidume sana kuchukua vya watu halafu wakiwaona wenye navyo wanapita wanawaona mafara. Kwanini hakutafuta dem asiye mke wa mtu.
 
Jamani sikua na jinsi zaidi ya mukfanyia hivyo.Maana nilimuonya sana lakini akawa mkaidi,mbaya zaidi akawa anapata mgao wa mshahara wangu kwa 20% hivi,sikua na jinsi mara baada ya kuona wife ananilisha tembere tuuuuuu wakati mimi natoa pesa ya matumizi ya kutosha,baada ya kufatilia nikabaini jamaa ndiye anayeifahidi pesa yangu,tena nilimuhurumia sana,maana lengo langu nimtoboe mpaka masikio kenge huyo!!

Lakini si ungefanya tu siri ya ndani? lol...
 
Back
Top Bottom