Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Mtu akiwa na urembo basi ule asili awe nao hata kama hajapaka wa kidhungu basi awe anatazamika usoni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanapotoka sana, urembo sio lazima mtu ajibadilishe - kakandika hayo wanaita mamakeup hadi juani yanatiririka kama mto ruvu pyuuuuu!