Twakusalimu pianawasalimu tu![]()
hahah somo hilo tunalo sisi tu ujue tualike tuje tukuonyeshe basiMuite akusaidie kunipa somo

ngoja nimuelekeze udugu wetu ulivyo wa kwanza dada etu hajar wa pili mie ukhuty wa tatu Davet wa nne mwifwa pole mdogo wangu umesahulika tu hiyo ndo family yetu rasmi sas cc Hajar
yepi tena hayo jamani
hahah somo hilo tunalo sisi tu ujue tualike tuje tukuonyeshe basi![]()
![]()


Aisee nimeshawaalika tayari...Nakusalimu bibie!Mwanamke mzuri ni yule anayejua kutafuta chapaa mwenyewe,anayejua dhamani yake na anayejitambua
Hahah!! Pitia maongezi ya dada yako Hajar na mbarizi1 ndio utaelewa
Huyu ndugu tunamsahau sanangoja nimuelekeze udugu wetu ulivyo wa kwanza dada etu hajar wa pili mie ukhuty wa tatu Davet wa nne mwifwa pole mdogo wangu umesahulika tu hiyo ndo family yetu rasmi sas cc Hajar
umkumbuke jamani nitamwambia dada hajarHahah!! Pitia maongezi ya dada yako Hajar na mbarizi1 ndio utaelewa
Huyu ndugu tunamsahau sana
jaman kaunde kagroup bas kaka ili tualikane vyemaAisee nimeshawaalika tayari...
tunakuja udugu wote ujueNaona mnavyokasahau katoto ka mwisho jamani, mtoto wq mwisho huwa anapendwa lakini nashangaa ninyi mpo tofauti kabisa.ngoja nimuelekeze udugu wetu ulivyo wa kwanza dada etu hajar wa pili mie ukhuty wa tatu Davet wa nne mwifwa pole mdogo wangu umesahulika tu hiyo ndo family yetu rasmi sas cc Hajar
Sasa mimi nimepanda gari njiani hamna budi kunipa samari ya kilichotokea wakati tunaendelea na safariHahah!! Pitia maongezi ya dada yako Hajar na mbarizi1 ndio utaelewa
Huyu ndugu tunamsahau sana
pole mdogo wangu hatuwezi kukusahau tena tusameheNaona mnavyokasahau katoto ka mwisho jamani, mtoto wq mwisho huwa anapendwa lakini nashangaa ninyi mpo tofauti kabisa.
Kuna haja ya kufungua shauri kwenye mahakama ya watoto juu ya hili jambo.