Hizi ndizo sifa za mwanamke mzuri

Hizi ndizo sifa za mwanamke mzuri

Ngoja nikwambiee
Mwanamke mzuri n mwenye sifa zifuatazo

•mvaa mawigi
°mchora kucha
°muweka kope za bandia
°mpiga selfie hata akiwa chooon
°mpenda starehe kuliko maendeleo
°mpiga umbea saluni
°kujichubua awe Kama lady gaga
°mpenda sifa...
Nyingine ongezea mwenyew

Mwenye mafiga matatu
 
Back
Top Bottom